Hata kwenye picha ya kwanza?? Embu weka picha ya hivyo vya kiswaziHivi vishada vya kizungu
Jf wote watoto hawajacheza huo mchezo....wazee tunahesabika.
Sisi tulikuwa tunatumia nyuzi za viroba, vi-sulphateKitambo, nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunaenda kuokota mabunda ya uzi pale Tabata dampo na tulikuwa tukirusha kutoka Tabata Kimanga hadi Manzese kulingana na mwelekeo wa upepo alafu kwa juu unaandika ujumbe,ilikuwa 1987-1991 ndiyo burudani hii ilipotoweka kijijini kwetu Tabata.
Very creative...sasa hivi ule mchezo wa kupulliza bubble watoto wananunua mlimani city wakati sisi tulikuwa tunatumia vibomba vya majani ya mpapai na maji ya sabuni.Dah miaka hioo maisha yalipokua maisha!! Tulikua so creative, tulifurahia maisha like there is no tomorrow. Tulikamata panzi, tulitengeneza magari, tluifanya kila kitu kilichokuwa ndani ya uwezo weti ili tu kitupatie raha ya siku nzima. If I could turn back the time....
poa mkuuYa kwanza sawa.