Wahenga mnamkumbuka mwanandinga huyu?

Hamnaaaa.... Mauro Camoranes huyo
Uko sawa bin sawia.

Huyo ni Mauro Camoranesi mzaliwa wa jijini Bunos Aires nchini Argentina, ambapo alitamba katika klabu ya Juventus Turin almaarufu kama Kibibi Kizeeakicheza kama kiungo/winga wa kulia.

Licha ya kuzaliwa Argentina, aliamua kuchukua uraia wa Italia na kuitumikia nchi hiyo kikamilifu.

Ni mshindi wa Kombe la Dunia, alitwaa akiwa na timu ya taifa ya Italy mwaka 2006 katika fainali zilizofanyika nchini Ujerumani.
 
Namkumbuka Carmonez na babu Pirlo pamoja na Gattuso walikuwa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…