Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Unaweza piga picha nzuri kwenye sherehe halafu ukaambiwa zimeungua zote hadi NEGATIVE
hahaha4 ,5 ,10 na 12 nimecheka sana, hivi kumbe wadada wa kizamani walikuwa wanadanga kwa ma camera man kama hawa wa sasa ambao ukiwa na camera ua DSRL umewapata
[emoji23][emoji23]mimi nakumbuka picha kuungua[emoji23] na ma camera man wengine walikuwa washenz ukichelewa kufata picha yako anaitundika kwenye ubao studio kwake kwa nje afu kuna bango WADAIWA SUGU
[emoji23][emoji23]Mkuu hizo sifa zote yaani umepita mule mule..
Ama kweli kila kitu na enzi zake.. kama sasa hivi watu wenye magari wanavyotesa makameramani wametunyoosha sana..
Unakuta inapigwa picha unefumba macho lakini huna namna lazima uichukue.
Kuhusu vi baskeli vile vya phoenix sijui nani aliwaambia kila cameraman awe nacho[emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni ka desturi ka mtanzania kuigana ,mkuu kuanzia moshi,singida,tabora mpaka geita zile fremu za maduka zimejengwa kwa kufanana muonekano unaweza kudhani tuna fundi ujenziMkuu hizo sifa zote yaani umepita mule mule..
Ama kweli kila kitu na enzi zake.. kama sasa hivi watu wenye magari wanavyotesa makameramani wametunyoosha sana..
Unakuta inapigwa picha unefumba macho lakini huna namna lazima uichukue.
Kuhusu vi baskeli vile vya phoenix sijui nani aliwaambia kila cameraman awe nacho🤗😂😂😂😂
😂hawa watu walisumbua sana, wengine waliojiona ni wale wamiliki wa cabble tv,mchezaji akikaribia gorini wanakata channel watakuja kurudisha goli likiwa lishafungwa hii ilikua ni kutuhamasisha tukaangalie tv kwenye biashara zao ambapo napo unalipia[emoji23][emoji23]
umenifurahisha sana asee eti “WADAIWA SUGU”..kipindi hicho wao ndo final say!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahani ka desturi ka mtanzania kuigana ,mkuu kuanzia moshi,singida,tabora mpaka geita zile fremu za maduka zimejengwa kwa kufanana muonekano unaweza kudhani tuna fundi ujenzi
[emoji23]hawa watu walisumbua sana, wengine waliojiona ni wale wamiliki wa cabble tv,mchezaji akikaribia gorini wanakata channel watakuja kurudisha goli likiwa lishafungwa hii ilikua ni kutuhamasisha tukaangalie tv kwenye biashara zao ambapo napo unalipia
Na akiipiga hata kama imeharibika lazima uichukueWalikuwa na kamsemo kao kakukuweka attention... "NAPIGAAA"
nahisi wakati huo alikuwa na umaarufu mkubwa sana![emoji38]Nakumbuka Songea walikuwa na studio 2, Umoja photo studio na nyingine nimesahsu. Kameraman maarufu akiitwa "VYAKUMINYA" alivalia km Mikael Jackson NA KUKALIKITI NYWELE, alishafariki, mwingine aliitwa "MPENDA" yupo hadi leo.. Kwa vile Nilikuwa mdogo naamini walikulaga sana mademu wazuri wa enzi hizo wakiitwa VI/KISHTOBE
Sent using Jamii Forums mobile app