Modrizzy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 971 Reaction score 1,782 Mar 28, 2019 #221 Huu mzigo mara ya mwisho ni 2014 hpo juzi tu nilipigwa malaria moja hatar Vijana wa town wanakuambia malaria mbwa Ilikuwa napiga drip moja chloroquine , drip mbili za maji aseeh Hizo masikio zilikuwa zinaangusha biti hatar ni ziiiiiiiiiiiii ziiiiiiiii diiiiii Hizi dawa zipo ukiumwa malaria ile yenyew hakuna jins nikukutana nazo tu Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mzigo mara ya mwisho ni 2014 hpo juzi tu nilipigwa malaria moja hatar Vijana wa town wanakuambia malaria mbwa Ilikuwa napiga drip moja chloroquine , drip mbili za maji aseeh Hizo masikio zilikuwa zinaangusha biti hatar ni ziiiiiiiiiiiii ziiiiiiiii diiiiii Hizi dawa zipo ukiumwa malaria ile yenyew hakuna jins nikukutana nazo tu Sent using Jamii Forums mobile app
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Mar 28, 2019 #222 Wengi ilituwasha baada ya kutumia utadhani ilikuwa na upupu ndani yake...ukimaliza kumeza unalamba sukari huku domo likijaa mate Maithili ya ndondocha
Wengi ilituwasha baada ya kutumia utadhani ilikuwa na upupu ndani yake...ukimaliza kumeza unalamba sukari huku domo likijaa mate Maithili ya ndondocha