Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

yaani ukianza kuinywa tu, basi toka hapa hata ukitaka kunywa maji tupu unasikia harufu ya 'Klorokwini' mwezi mzima
 
dawa hatari sana hii enzi hizo hii dawa waliomeza kwa muda mrefu ilienda kuwapiga kwenye speech center and hearing katika (forebrain) wengi walibaki viziwi na kupoteza kumbukumbu hadi leo
 
NILIMEZA SANA QUININE KLOROWIN UWI UTOTO WANGU NUSURA NIFARIKI DAWA PEKEE ILIYONIOKOA ni mwarobaini ambapo sikumoja mamangu aliona nakaribia kupoteza maisha aachemsha jungu la mwarobaini kisha aklipoepua akaliweka china akanifunika gubigubi ule mvuke wake unanitoa jasho hatare nikazidi kunyongonyea nikapoteza nguvu kabisa nikalala takriban masaa 24 kuja kuamka nalilia chakula baada ya msosi nikaanza kupata nguvu kidogokidogo japo nilikuwa dhaifu lakini niliendelea kuimarika mpaka leo sikuwahi kuugua malaria kali kabisa inanipata mara chache mnoo na nipo stable

happy born day to me ............sikufa bali nimeendelea kuishi na leo mungu ameniongezea mwaka mwingine mmoja namshukuru sana
 
Happy birthday my love. Phina ana kimimba, Kila wakati anataka niwe nae. Leo ningekupitia Lunch twende pale kibanda umiza petu. Ila ntajitahidi nikuone
 
dawa hatari sana hii enzi hizo hii dawa waliomeza kwa muda mrefu ilienda kuwapiga kwenye speech center and hearing katika (forebrain) wengi walibaki viziwi na kupoteza kumbukumbu hadi leo
Lilikuwa ni Bomu la atomic, tumshukuru Mungu Bomu hili halijutuathiri nguvu za kiumeni family
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
happy birthday to you
 
Nilikua napenda kunywa dawa hasa hiyo Chloroquine. Nakumbuka niko darasa la tatu nikawa najisikia sikia kama kuumwa nikamwambia bibi. Sasa nikawa naogopa kuinywa bibi akaniwekea kwenye chai halafu niinywe ile chai. Nilitapikaa kila kitu na kuanzia siku hiyo nilichukia sukari na dawa. Yani nikiiwaza tu ile dawa najisikia kutapika mpaka leo. Kile kikombe nilichopewa nacho dawa nilikiiba nikakitupa. Ile dawa ilikua chungu haijapata kutokea.
 
Sijawahi kuona dawa chungu kama ile mpaka sasa, na harufu yake sasa mpaka ugonjwa unaongezeka. Ile ilikua sumu kwakweli.
 
Hahahha...mimi nilitumia mwaka 2000 nikiwa Chuo, nilimeza 2, baada ya masaa mawili sura yangu ikawa sawasawa na Mh. Pinda.

Nilisahau kwamba nipo allergic na chloroquine...

Umejua kunichekesha mbele za watu wee Bigirita, hahahahahahah, nimeshindwa kujizuia hahahahaha. JF Daima, sing'oki ng'oooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…