Wahenga tukutane hapa

Wahenga tukutane hapa

Saint Anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
76,039
Reaction score
230,142
Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma
Sadiki na chitemo[emoji4]

Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana.

Tulikata dumu na kutengeneza gari..unapanda ndani mwenzio anakuburuza

Namiss Sana hizo enzi
IMG-20190124-WA0018.jpeg
GBWA-20190116064930.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anatumia dumu la plastik kuchezea ujue sio mhenga enzi zetu mafuta yalikuwa yanauzwa kwny makopo ya bati ukipita sehem kama jangwani unakuta mtu kaezeka kwa kutumia makopo ya korie
Hiyo sijapitia
Mpya kwangu

Brother kumbe wewe mhenga zaidi yangu[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom