Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sio cha kujifunza kilikuwa kitabu cha kiswahili darasa la nne.Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma
Sadiki na chitemo[emoji4]
Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana.
Tulikata dumu na kutengeneza gari..unapanda ndani mwenzio anakuburuza
Namiss Sana hizo enziView attachment 1005459View attachment 1005460
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ilikua sadiki na sikiri
Huyo sikiri sijamsoma mkuu.
Inaonekana ulikua nyuma ya 94 weweHuyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
Yes...nilikuwa nyuma ya hapo.
Sungura mjanja[emoji7]Huyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
Haswa.
Ulikipenda eeeh!
Hiyo sijapitiaUkiona mtu anatumia dumu la plastik kuchezea ujue sio mhenga enzi zetu mafuta yalikuwa yanauzwa kwny makopo ya bati ukipita sehem kama jangwani unakuta mtu kaezeka kwa kutumia makopo ya korie
SanaUlikipenda eeeh!
Je bibi nyakomba?Sana
Naona umeorodhesha vingi nilivyo sahau
Karudi baba mmoja Hadi leo shairi hili ninalo kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app