Wahenga walisema..."mdomo uliponza kichwa"

Mtalebani

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
23
Reaction score
57
Hatimaye maisha ya MTAANI yamnyoosha Msemaji wa Yanga-JERRY MURO.
 
Kila la kheri kwake. Atasamehewa tu.
 
Wamfungulie tu. Yeye na mwenzake wa Simba wanachangamsha habari za soka na kuhamasisha ushabiki, which is not that bad.
 
Amalizie Adhabu sasa anataka aachiwe ili aendeleeze domo kaya?
 
Mkuu muro umeufyata? Ulisema hata mdomo wako ni wa kimataifa nini unaomba msamaha?
 
Mahaba yamekuelemea kwa njisi ulivyotoa Taarifa !
Hivyo bila tone la shaka utakuwa Simba mula majani.

Btw;Mpira wa bongo Ujanja-Ujanja mwingi.
 
Afunguliwe tu
Wapinzani wake tumemiss kelele zake
 
Wabongo tuna shida sn mtu akiona mwenzie yupo kwenye shida anafurahia, akisikia ametumbuliwa anashangilia wakati kwake yeye haitomsaidia lolote. Tuache roho mbaya ni vizuri asamehewe aendelee na shughuli zake kuna watu wapo nyuma yake wanamtegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…