NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpira wetu ukiwa unajikongoja kupiga hatua mdogo mdogo kimataifa na kuongeza viwango ligi, bado kuna jinamizi linatudisha nyuma huu mpira wetu na si jingine jinamizi la "Ushirikina."
Kuelekea derby ya Kariakoo zimeibuka hoja za mashabiki maandazi nakusema mambo ya nyota/uchawi na kutaja wachezaji tena na kutaja waganga wa Kigoma, Kilosa, kuwa yanga inawatumia.
That is a stupidity, stupid...Stupid...Stupid! Kataa ushirikina katika tasnia yetu ya mpira. Hapa nataka kujenga hoja kidogo, kama wewe unasema mpira ni uchawi na tayari ushaloga Yanga watafungwa basi ingiza wachezaji wako wa mafungu kama Sawadogo, Kapama, Kennedy Juma wacheze first eleven tuone huo uchawi utakusaidia?
NALIA NGWENA mkombozi wa fikra katika jukwaa hili kama alivyonibatiza @mrkenice, napiga vita dhidi ya ushirikina katika tasnia yetu hii.
Mfa maji haishi kutapatapa mara uchawi, nyota, mara sijui viongozi kuweni makini, shabiki maandazi kaa kwa kutulia mpaka mchezo utakapofika.
www.jamiiforums.com
Huwezi kukuta mechi za baselona na real Madrid madudu ya ushirikina /uchawi

Mpira wetu wa Tanzania hauwezi kupiga hatua mbele kama kipaumbele chetu ni Imani za kishirikina
Naam, wakati real Madrid, Manchester city , wydad Casablanca, Rajacasablanca ,Al ahly n.k, zikipiga hatua kwa kuwekeza pakubwa katika kununua wachezaji nakuboresha mishahara na masilahi ya wachezaji ili wafurahie mazingira wapige kazi hii ni tofauti kabisa na ligi yetu pendwa Nbcpl. Kipao mbele...