Wahenga walisema "Mfa maji haishi kutapa tapa"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mpira wetu ukiwa unajikongoja kupiga hatua mdogo mdogo kimataifa na kuongeza viwango ligi, bado kuna jinamizi linatudisha nyuma huu mpira wetu na si jingine jinamizi la "Ushirikina."

Kuelekea derby ya Kariakoo zimeibuka hoja za mashabiki maandazi nakusema mambo ya nyota/uchawi na kutaja wachezaji tena na kutaja waganga wa Kigoma, Kilosa, kuwa yanga inawatumia.

That is a stupidity, stupid...Stupid...Stupid! Kataa ushirikina katika tasnia yetu ya mpira. Hapa nataka kujenga hoja kidogo, kama wewe unasema mpira ni uchawi na tayari ushaloga Yanga watafungwa basi ingiza wachezaji wako wa mafungu kama Sawadogo, Kapama, Kennedy Juma wacheze first eleven tuone huo uchawi utakusaidia?

NALIA NGWENA mkombozi wa fikra katika jukwaa hili kama alivyonibatiza @mrkenice, napiga vita dhidi ya ushirikina katika tasnia yetu hii.

Mfa maji haishi kutapatapa mara uchawi, nyota, mara sijui viongozi kuweni makini, shabiki maandazi kaa kwa kutulia mpaka mchezo utakapofika.


Huwezi kukuta mechi za baselona na real Madrid madudu ya ushirikina /uchawi
 
Aliye Jiandaa Vyema Atashinda
Atakaye tumia Nafasi Vyema Atashinda
Pia Mpira Ni DK 90
Ukijichanganya Utapigwa
Hayo mengine Yakupuuzwa
 
Aliye Jiandaa Vyema Atashinda
Atakaye tumia Nafasi Vyema Atashinda
Pia Mpira Ni DK 90
Ukijichanganya Utapigwa
Hayo mengine Yakupuuzwa
Kweli kabisa mkuu upo sahihi kwa ulichokinena aisee.
 
Tunamjua huyo mwakilishi wao.
 
Genta popoma kwenye ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…