WAHENGA WALISEMA CHOZI LA SAMAKI LINAKWENDA NA MAJI....
Mimi nasema CHOZI LA MWANAMKE HUMLAANI MWANAUME ALIYE UMIZA MOYO WAKE!
Mara nyingi mwanamke huingia katika mahusiano ili KUITETEA AMANI YA MOYO WAKE
lakini mwanaume huingia katika mahusiano ili KUUPA MWILI WAKE HAJA YAKE.
NIWAKUMBUSHE TU KWAMBA MACHOZI YA MWANAMKE HUWA HAYAPOTEI BURE