Wahenga wametuongopea hapa...

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Wahenga wamesema "kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" sasa ukitaka kujua kama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake au kwa huruma ya mchungaji kamfunge jangwani.....wahenga muda mwingine muwe siriaz

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Wahenga wamesema "kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" sasa ukitaka kujua kama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake au laa kamfunge jangwani.....wahenga muda mwingine muwe siriaz

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Jangwan atarud mshikak
 
zingine
Wahenga wamesema "kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" sasa ukitaka kujua kama kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake au laa kamfunge jangwani.....wahenga muda mwingine muwe siriaz

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
naonaga uzushi tu................eti mwanzo mgumu.......hivi ukianza kupanda kilima/mlima/mpando/ unachoka mwanzoni au mwisho..................?
 
mbuzi akifungwa jangawani ni mwendo wa kula mchanga tu., maana ndicho kinachopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…