Wahenga wenzangu tukumbuke huku kwanza....

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
Hebu vuta kumbukumbu zako ilikua mwaka gani ukiwa katika ubora wako? WAHENGA WENZANGU NJOONI TUKUMBUKENI YA ZAMANI. Hawa wa INTERNATIONAL SCHOOL TUACHENI KWANZA.

 
🤣🤣 sahivi ndo wanajiita mabaharia..
 
Life ilikuwa poa sana kayumba enzi za mwalimu. Tulikuwa huru sana! Tulimingle jamii zote kasoro Indians ti pkn maarab tulikuwq no kayumba. Ikipigwa kengele saa nne tunatoka baru na kisambi chetu uwanjani. Hapo ni gombania goli mpaka kengele ya kurudi Tena darasani. Hukosi mfukoni mahindi ya kukaanga, karanga. Mademu vile vile wa class tulifukuzia sana! Ingawa hatukuweza fanya lolote lkn Simba mwindaji huanza kujifunza kuwinda toka akiwa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…