Wahenga

Duh...I love Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 


Babu wa hawa wajukuu, ndiye Muasisi wa Msemo....."UKIBEBWA nawe JISHIKILIE"

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Chakorii ni KE kumbe?

Maana ya hilo jina ni nini dada?
mimi ni KE mkuu
Umelipenda eee..
Inaandikwa na kuitwa "Chakor"ila mimi nimeongezea hizo "ii"mbele.

Kuna movie moja ya kihindi nimeisahau jina,ndani yake kuna katoto kanaitwa Chakor.ni kajanja na kaerevu mno mi nilikapenda sana

Ngoja nina marafiki zangu wahind nitawauliza maana na hilo jina hasa theni nitakuletea majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…