Wahenga wenzangu habarini!
Natumaini mu wazima wa Afya, kwa wagonjwa na wenye matatizo ya aina yeyote poleni, Mungu awajalie na kiwapa wepesi wakujikwamua
Wahenga mnakumbuka
1. Zamani ukitaka kujua muda unaangalia jua ama inakubidi usikilize radio atleast kwa muda fulani hua walikua lazima wataje muda, kwasasa hilo jambo ni kama halipo
2. Tulijipaka mafuta ya kupika pindi mafuta ya kujipaka yaishapo ghafla
3. Tulikaanga sukari ili kupata mbadala wa majani ya chai
4. Wali au pilau iliku anasa kwa mikoa mingi hapa Tz
5. Ongezea mengine ya uhengani...