Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Nov 6, 2024 Thread starter #2 Hapo juu imeandikwa baba wa wazee,ni ukweli usiopingika.kama ni baba ya wazee,jiulize,.kama ww ni wa 2000,basi kwako itakuwa Babu wa wazee.Fiat hiyo,usukani wake ulikuwa mpana kama beseni la kufulia.
Hapo juu imeandikwa baba wa wazee,ni ukweli usiopingika.kama ni baba ya wazee,jiulize,.kama ww ni wa 2000,basi kwako itakuwa Babu wa wazee.Fiat hiyo,usukani wake ulikuwa mpana kama beseni la kufulia.