Waheshimiwa hawa waliutendea haki mziki wa dansi nchini

Waheshimiwa hawa waliutendea haki mziki wa dansi nchini

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa kuelimisha umma wa watanzania na kuburudisha. Walikuwa na umahili katika fani zao.

Binafsi licha ya kuwa wengi hatunao ila Mungu aliwatumia kama zawadi katika taifa letu katika tasinia ya mziki. Kabla ya mziki wa sasa wa vijana hawa na wengine ndiyo walifanya kazi kubwa ya kuburudisha na kuelimisha kupitia nyimbo zao.

Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani waliyokwisha tangulia mbele za haki.
 
Ndugu zangu nimewaita ili niwaeleze kinachoniuma Mimi Moyoni mwangu kinacho nisibu mm moyoni mwangu ndoa imekuwa kafara yanitoa roho mieeh
 
Back
Top Bottom