Waheshimiwa Maaskofu, Wachungaji, Wainjilisti, karibuni huku, kuna jambo lenu!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Shalom Waheshimiwa! πŸ™

Naomba mpokee "maua yenu" kwa kazi njema mnayofanya katika jamii, ya kuwatafuta, kuwalisha na kuwachunga kondoo.

Hivi majuzi ilipigwa kura hapa yenye swali: "Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Jibu "Ndiyo" au "Hapana."

Matokeo ya kura haya hapa: Kati ya waliopiga kura, asilimia 60.4 walipiga kura ya NDIYO na asilimia 39.6 walipiga kura ya HAPANA. Hakuna kura iliyoharibika!

Matokeo hayo ni ushahidi kuwa kazi mnayoifanya ya kuilea jamii katika maadili mema, ni kubwa. Hao waliopiga kura ya NDIYO ni ishara ya wazi kuwa wanaishi maisha matakatifu katika jamii ili Yesu atakapokuja wasiachwe.

Kwa heshima na unyenyekevu, nawasihi muendelee na huduma yenu njema, muwatafute na hao kondoo waliopotea kwa kusema HAPANA, warudi zizini.

Asanteni sana. Pokeeni maua yenu!
🌹 🌸 🌺 🌷 🏡️ 🌻 🌼 πŸ’ 🌾 🌿 🌱 🌳 🌡 🌴 πŸ€

Matokeo ya kura πŸ‘‡
 
Kwa heshima na unyenyekevu, nawasihi muendelee na huduma yenu njema, muwatafute na hao kondoo waliopotea kwa kusema HAPANA, warudi zizini.πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ“ŒπŸ”¨
 
1 Wathesalonike 5:12-13
Ndugu, tunawaombeni muwastahi wale wanaofanya kazi kati yenu, wale wanaowaongoza na kuwafundisheni kuhusu maisha ya Kikristo. Wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. Muwe na amani kati yenu.
 
Mbona heionyeshi idadi ya wapiga kura?
Ujue hata kama waliopiga kura ni 15 tu hizo % zinakokotoleka?? So hai justify kuwa kaz iliofanyika ni kubwa. Ungeleta numbers
 
Kati ya waliopiga kura, asilimia 60.4 walipiga kura ya NDIYO na asilimia 39.6 walipiga kura ya HAPANA. Hakuna kura iliyoharibika!
Hapa mambo n kinyume na mbele πŸ€”πŸ€”,wa ndio ,ndio wa hapana na WA hapana ndio wa ndio ...
 
Mbona heionyeshi idadi ya wapiga kura?
Ujue hata kama waliopiga kura ni 15 tu hizo % zinakokotoleka?? So hai justify kuwa kaz iliofanyika ni kubwa. Ungeleta numbers
Check numbers hapa πŸ‘‡
 
Post in thread 'Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!' Rais Trump ashuhudia maandalizi makubwa ya kumpokea Masihi, nchini Israeli !!
 
Kuna jambo lao kwa mwinjilisti Setfree sio?
 
... Hao waliopiga kura ya NDIYO ni ishara ya wazi kuwa wanaishi maisha matakatifu katika jamii ili Yesu atakapokuja wasiachwe.
Hiyo ndiyo tafsiri ya matokeo ya utafiti huo? Haiwezekani mtu anayeishi maisha ya kitakatifu akapiga kura ya HAPANA?
 
U see now..katika mamilion ya JF users, only 84 are concerned. Bado hawa wapakwa mafuta wa Bwana hawastahili hata pongezi ya mbali..
 
U see now..katika mamilion ya JF users, only 84 are concerned. Bado hawa wapakwa mafuta wa Bwana hawastahili hata pongezi ya mbali..
Hapana, mkuu. Wanastahili pongezi sana. Ngoja tuichambue hiyo poll kitaalam. Let's use

Voter Extrapolation Analysis Based on that Sample Data​

This analysis estimates how that small poll sample represents the entire population of JF registered members. OK. Now let's assume: Total JF registered members = 5,000,000
  • Total votes cast = 134
    • "Yes" votes = 81 (60.4%)
    • "No" votes = 53 (39.6%)
So, the key findings:
  • Voter Representation Ratio: Each voter in the sample represents ~37,313 members.
  • Projected Representation:
    • "Yes" voters (81) represent ~3,022,389 members.
    • "No" voters (53) represent ~1,978,611 members.
  • Projected Full Participation:
    Kama members wote 5,000,000 wange-vote in the same proportion:
    • "Yes" votes β‰ˆ 3,020,000 members
    • "No" votes β‰ˆ 1,980,000 members

      HAPO VIPI, MKUU? Waheshimiwa bado tu hawastahili pongezi? πŸ™‚
 
Mama mtumishi, hizo ni real actual data. Not samples. Hiyo sio research, that is actual polling. No sampling application there..
 
Mama mtumishi, hizo ni real actual data. Not samples. Hiyo sio research, that is actual polling. No sampling application there..
Hahaa. Ni kweli hiyo ni actual data, lakini kwa sababu haijajumuisha members wote 5m, bado tunatumia extrapolation kuonyesha jinsi matokeo hayo yanavyoweza kutafsiriwa kwa idadi kamili ya members. Extrapolation ni uchambuzi wa takwimu unaotumia sample ndogo kutabiri matokeo makubwa. Are we together?
 
Ko sis walimu, mitume na manabii hujatuonaaa

Nimelia sana 😭
 
Not proper..kwakua hizo polls probably zitaendelea ku shoot na pia ukitazama waliosoma huo uzi ni wengi lakin walio attend votting ni wachache..means hao wengine walio ignore na kwamba hawajaona essence yake hivyo huwez kuwajumuisha katika kutafsir matokeo kwa ukubwa.

Kifupi ni kwamba mna kazi kubwa sana ya kuwahubiri watu. Na hasa wasomi na wenye exposure.
Asilimia kubwa ya watu walioshika dini ni watu ambao kwa kiwango kikubwa hawana tumaini na hope pekee ni Mungu japo kadir wengine wanajaaliwa kufanikiwa huamua kuacha kuamini mungu why?

Hamuwa hubiri watu vile inapaswa. Ongezeni juhudi
 
Ko sis walimu, mitume na manabii hujatuonaaa

Nimelia sana 😭
Ooh, pole makutupora , kumbe wewe ni Nabii?
Niliacha makusudi kutaja mitume na manabii coz unajua mwenyewe hizo titles zinavyowachanganya watu kwa sasa. Basi kama wewe sio Nabii wa mchongo pokea maua yako pia πŸŒΉπŸŒ»πŸŒΌπŸŒΈπŸŒΊπŸŒ·πŸ’ πŸ™‚
 
Nimekuelewa vizuri sana
Mimi ni mwalimu 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…