Waheshimiwa Maaskofu, Wachungaji, Wainjilisti, karibuni huku, kuna jambo lenu!

Mimi ni mwalimu 🀣
OK. Huduma ya ualimu ni muhimu mno nyakati hizi zenye mafundisho ya mashetani. Mungu akutie nguvu uwafundishe wengi waijue kweli.
1 Timotheo 4:1
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani."
 
1 Timotheo 5:17
"Wazee watawalao vema na wahesabiwe kustahili heshima maradufu, hasa hao wajitaabishao kwa kuhubiri na kufundisha."
 
1 Wathesalonike 5:12-13
Ndugu, tunawaombeni muwastahi wale wanaofanya kazi kati yenu, wale wanaowaongoza na kuwafundisheni kuhusu maisha ya Kikristo. Wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. Muwe na amani kati yenu.
Hao Wathesalonike ni Wagiriki, Yesu katika uhai wake hajawahi kukanyaga nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani ila manabii wote ni wao wazungu, inafikirisha hii na sisi wajinga Waafrika tunakubali kuliwa tu bila hata kujiuliza.
 
Hao Wathesalonike ni Wagiriki, Yesu katika uhai wake hajawahi kukanyaga nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani ila manabii wote ni wao wazungu, inafikirisha hii na sisi wajinga Waafrika tunakubali kuliwa tu bila hata kujiuliza.
Sijakupata, mkuu. Fafanua
 
Kwa heshima na unyenyekevu, nawasihi muendelee na huduma yenu njema, muwatafute na hao kondoo waliopotea kwa kusema HAPANA, warudi zizini.πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ“ŒπŸ”¨
Asante mkuu, kwa kupigilia msumari
 
Haya ni wazi kuwa matokeo ya kupangwa harakaharaka bila kufikiri, kama kwenye kujaza fomu wapo wanaokosea iweje kwenye kupiga kura wasiwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…