Wana JF,Waheshimiwa wabunge walisema wamepunguza siku za vikao,ili kupunguza matumi ya pesa ya walipa kodi sasa kwa nini wanapo ongeza siku wasisamehe hiyo posho kama kweli hawataki kuvuja sana pesa ya walipa kodi.
Mkuu unauliza jibu, wewe unaweza kufanya kazi bila kulipwa, unataka wafanye kazi bila malipo eti, halafu familia zao utawapelekea mlo huo wa siku moja eti.