Kama record zangu ziki sawasawa waheshimiwa waliomtoa Bungeni Mh. Zitto Kabwe karibu wote wameshindwa kutetea nafasi zao. Mfano John Malecela, Nazir karamagi, Batilda Burian, Ruth Msafiri na "Joka la Mdimu" Mudhihir wa Mudhihir. Kumbe watanzania wanajua kutoa adhabu! Big up wapiga kura wa majimbo husika.
Hivi Hawa Ghasia hakuwa mmoja wao?maana kama na yeye pia alichangia kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Au kama nitakuwa nimesahau basi itakuwa ni issue ingine.Kama record zangu ziki sawasawa waheshimiwa waliomtoa Bungeni Mh. Zitto Kabwe karibu wote wameshindwa kutetea nafasi zao. Mfano John Malecela, Nazir karamagi, Batilda Burian, Ruth Msafiri na "Joka la Mdimu" Mudhihir wa Mudhihir. Kumbe watanzania wanajua kutoa adhabu! Big up wapiga kura wa majimbo husika.