Kumbe hawa jamaa wanataka ukipakua software zao basi uzitumie on the same day, ukitumia next day inagoma!!!!!! Jana nlipakua leo naona imekataa kuactivetika, imekula kwangu!!!
Ila kuna ishu nataka niifanyie majaribio, ikitiki itakuwa powa na ntakujulisheni.
Leo kuna software ya
Audio Recorder 1.5