Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
743
Reaction score
915
Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi. Kodi ya master room maeneo hayo ni TZS 120K per month. Kiwanja kina Invoice/Offer kwa ajili ya hatua za mandalizi ya hati.

Kipo eneo lililopangika sana na ni Km 4 kutoka mjini na Km 3 kutoka Makao Makuu ya Hazina pia mji zilipojengwa Taasisi za Serikali ikiwemo Usalama wa Taifa.

Offer TZS 20M. Maongezi yapo for a Serious Buyer.

For contact: 0713-723067

Taarifa ya Uhakiki.jpg


Hati ya Kukubaliwa kumilikishwa Kiwanja.jpg
 
Tuchangamkie fursa hiyo kwenye Prime area Wakuu!
 
Oysterbay ndio Mapinduzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa Mbona offer letter yako inasema eneo ni kwa matumiz ya makazi tuu? Hiyo biashara utafanyia wap?
 
Sasa Mbona offer letter yako inasema eneo ni kwa matumiz ya makazi tuu? Hiyo biashara utafanyia wap?
Unaweza kufanya mabadiliko ya matumizi ya eneo husika kutoka makazi kwenda biashara kwa utaratibu uliopo kisheria. utaratibu uko wazi kabisa Mkuu..
 
Unaogopa nini kuweka namba zako za simu na picha za eneo husika? Maana kuna watu wanaingia JF kama wageni tu, hivyo hawana uwezo wa kukufuata huko PM.
Hii ni public forum Mkuu, na kama unavyofahamu sheria za privacy za hapa JF nikiweka namba hapa wataitumia hata ambao sio interested. Ndio maana nikasema atakayekuwa interested hataona shida kuhitaji taarifa zaidi kwa kuja inbox. Ila Hakuna tatizo nimeweka namba Boss
 
Back
Top Bottom