BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Kibada Block 17 kwa mkenya nduguKibada kubwa. Kibada ipi? Ungidoni au shangwe au mizimbini. Toa maelezo ya kutosha
Mkuu kwa Kibada hiyo hupatiMkuu 500 sqm nalipia 8m cash.
Sawa tuko pamojaAhsante kwa taarifa...
Inaonekana wewe ni jirani yangu kifurukwe[emoji16][emoji16][emoji16]Kibada kubwa. Kibada ipi? Ungidoni au shangwe au mizimbini. Toa maelezo ya kutosha
Sio mbaya mkuu inaleta utulivu na kuridhika ikiwa tu ndo kitu sahihi kwakomilion 14 ni pesa ya crown athlete
Bado vioo eeee?Sio mbaya mkuu inaleta utulivu na kuridhika ikiwa tu ndo kitu sahihi kwako
tofauti na hapo hata ukinunua kiwanja cha MIL 1, kama sio sahihi kwako, hutojivunia juhudi zako
Kwa mwafrika block 2Inaonekana wewe ni jirani yangu kifurukwe[emoji16][emoji16][emoji16]
Vya kibugumo Vimeisha mkuuBado vioo eeee?
Habari! Kuna punguzo kubwa la bei kwa viwanja vya kibada mwera! Njoo umiliki kiwanja boss. Huduma zote za mühimu zipo, pia kumejengekaMkuu 500 sqm nalipia 8m cash.
Karibu boss! Kuna punguzo la bei ya viwanja kibada Mwera! Ni pazuri huduma zote zipo, kumejengeka! Bei sqm1 Tsh 25,000 cashKibada kubwa. Kibada ipi? Ungidoni au shangwe au mizimbini. Toa maelezo ya kutosha