Omary Mbaraka
New Member
- Mar 9, 2023
- 1
- 1
Wanaona aibu kuandika kwa mita. Hizo futi 50 x 30 ni kama mita 15 x 9! Sasa hayo si masihara hayoMkuu hivi kwa nini ukanda wa Mbagala, Vikindu, Kisemvule hadi Mkuranga na kuendelea hupenda kuuza viwanja kwa Futi na sio Mita?, hii hupelea viwanja kuwa vidogo sana, kusongamana na hata wanao-nunua kutofanikiwa kupata hati kwa wakati.
Hicho kiwanja kinatosha kujenga nyumba ya maana na parking ya gari unapata JAPANA asilimia kubwa ya nyumba za makazi nyumba zimejengwa katika viwanja vidogo hasa na nyumba nzuri tu.Wanaona aibu kuandika kwa mita. Hizo futi 50 x 30 ni kama mita 15 x 9! Sasa hayo si masihara hayo
Daaaah aiseee. Nilitaka kujichanganya hapa. Shukrani sana mkuuWanaona aibu kuandika kwa mita. Hizo futi 50 x 30 ni kama mita 15 x 9! Sasa hayo si masihara hayo
Hao ni matapeli wanakuuzia kiwanja chenye 150sqft