Wahindi acheni ubaguzi kwenye suala la ajira, hapa sio India

Wahindi acheni ubaguzi kwenye suala la ajira, hapa sio India

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa.

Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa?

Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.

Screenshot_20211113-102108_Opera Mini.jpg
 
Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa.

Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa?

Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.

View attachment 2008801
Si tuliwahi kuambiwa tusiwabague
 
Kazi sana, hata ukienda India kupata ajira ni shughuli kweli.
 
Yawezekana mmiliki, Program Manager wote ni wahindi na kingereza hakipandi vizuri hivyo kuliko wamwajiri Cashier anaejua kiswahili na kiingereza kisha wamuajiri tena mkalimani ni bora wamtafute anaejua hindu,

english na swahili au kihindi na kingereza na ukijichanganya kwa kuangalia picha za New Delhi tu interview tunakupiga kihindi tu 😂😂😂 baraabaraa Jan burunat
 
Dunia ya soko huria.....

Ukitaka wigo mpana wa ajira....jifunze lugha tofauti.....
 
Yawezekana mmiliki, Program Manager wote ni wahindi na kingereza hakipandi vizuri hivyo kuliko wamwajiri Cashier anaejua kiswahili na kiingereza kisha wamuajiri tena mkalimani ni bora wamtafute anaejua hindu, english na swahili au kihindi na kingereza na ukijichanganya kwa kuangalia picha za New Delhi tu interview tunakupiga kihindi tu 😂😂😂 baraabaraa Jan burunat
🤣🤣
 
Inawezekana wanao/wanaingiza wafanyakazi wengi kutoka huko kwenye mahitaji ya hizo lugha.Na hii ni aidha kwa kutaka cheap labour, kukosekana kwa wataalamu wa kada husika au tuu ni ubaguzi wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom