kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Fungua macho,huo ni ubaguzi wa wazi kabisa wanajua hakuna ngozi nyeusi itakayonusa pua hapo.kusoma ns kujua lugha hakuhusiani na utaifa, hujakatazwa kujifunza hizo lugha!!
Good questionKwani kwny ajira za serikalini wahindi hua unawaona wakiomba?
Si tuliwahi kuambiwa tusiwabagueWakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa.
Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa?
Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.
View attachment 2008801
π€£π€£Kwani kwny ajira za serikalini wahindi hua unawaona wakiomba?
Sijawahi waona π€£π€£Kwani kwny ajira za serikalini wahindi hua unawaona wakiomba?
π€£π€£Yawezekana mmiliki, Program Manager wote ni wahindi na kingereza hakipandi vizuri hivyo kuliko wamwajiri Cashier anaejua kiswahili na kiingereza kisha wamuajiri tena mkalimani ni bora wamtafute anaejua hindu, english na swahili au kihindi na kingereza na ukijichanganya kwa kuangalia picha za New Delhi tu interview tunakupiga kihindi tu πππ baraabaraa Jan burunat
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wabongo bhana.......ndo mana hatuwapi ajira mbwa nyieIko wewe penda kula bilibili basi wewe iko washa makunduni....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wabongo bhana.......ndo mana hatuwapi ajira mbwa nyie