rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Kutokana na visingizio vifuatavyo watu/Bussinessmen wengi wameonelea ni bora kuagiza wahindi kutoka India kutokana na tofauti ya matatizo lukuki tuliyonayo ya kuzaliwa nayo ambayo hutufanya tusifike kazini au kumalizia kazi kwa muda muafaka wakati kwenye tender au contracts havikubaliwi, je kuna njia au ndio tukubali?
1)Kufiwa mara kwa mara(visingizio vya..)
2)Kuuguliwa kuanzia jirani,mama ,baba,dada,kaka,rafiki etc(visingizio vya..)
3)Kubadilika katika makubaliano ya kazi au mikataba na hatimaye kuacha kazi
4)Kuuza siri za kampuni au kazi anayoifanya
5)Kutokuwa na utii kazini na kiburi
6)Uaminifu mdogo
7)Kuchapa kazi
8)Maslahi makubwa wanayodai wazawa
Ukijumlisha yote hayo mna mengine wanasema hawawezi kuwa wananyimwa tender kwa sababu ya kuto deliver kisa ni uzawa,sasa waswahili wenye pesa kuanzia kwenye engineering,hospitals,hotels,office management etc wanaagiza wahindi au wakishindwa kabisa wanaanza na watani wa jadi, jiandaeni baada ya miaka 20 na sisi tutaanza kwenda nchi za jirani kuomba kazi.