wahindi hawaendi baa

wahindi hawaendi baa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Jaribu kupitia maeneo mbalimbali ya burudani na starehe za hapa na pale utagundua hawa jamaa hauwez kuwakuta huko..ni jambo lililo wazi kwamba hawa jamaa wana-run uchumi wa Tanzania kwenye nyanja nyingi sana.
Kilichopelekea kutaja eneo ilo la baa ni jinsi watanzania tunavyopenda kujitutumua na kujikweza kwa kile kdogo tunachokipata..ni kutumia na kugawa ofa mpaka basi!!!
Inabidi watu wabadilike waendane na hali ya uchumi wa kitanzania ulivyo kwa sasa
Si kukaa baa na kuspend laki4 uku ukilalamika nchi ipo pabaya...!!
Tubadilike tupunguze starehe na anasa za kupuuzi zinazoishia kukuchosha kiafya na kichumi...
Naomba mwenye data zaid za hawa wahind aweke hapa especially za kubana matumizi na kuinvest.
 
Wanakwenda sana tu, ila sema hawaendi baa unazokwenda wewe.
 
wao ni wasafiri,sisi hapa ni nyumbani,huoni hata nyumba za kuishi hawajengi!naelekea rose garden kuna vimini murwa
 
Utakuwa umasaini labda, lakini kama Bongo hii, da! mbona tupo nao daily club. Tembelea pale New Africa Hotel wakati wa happy hour!

NB:
Siku nyingine usiwe unakurupuka tu!
 
hujafanya reseach ya kutosha ndugu,....,..
 
Umekurupuka!!! Next time kumbuka "no research no right to speak"
 
Utakuwa umasaini labda, lakini kama Bongo hii, da! mbona tupo nao daily club. Tembelea pale New Africa Hotel wakati wa happy hour!

NB:
Siku nyingine usiwe unakurupuka tu!

Happy hour ni nini hasa! Muda je?
 
anaongelea baa za gongo la mboto na pugu kajiungeni ndiko huko alikofanyia utafiti wake!!
 
Wapo na wanaenda ila kwa sababu ya uchache wao na kuchagua maeneo ya kwenda, hatukutani nao mara kwa mara!
 
Mkono wa Paka pitia maeneo ya Jolly Club,Meku Bar,Groceries zote za Upanga bila ya kusahau Mahotel yote makubwa,Bilcanas,Maisha Club,Calfonia Dreamer etc.UTABANA~NGENGE!
 
Kuna ka ukweli fulani, mdosi akienda bar, ni kustarehe baada ya kazi na principal yao ni kuwa usitumie zaidi ya 10% ya akiba yako iliyokwisha kaa mwaka mmoja, sisi tukienda ni matanuzi kwa kwenda mbele tena ni kila siku.
 
unapafahamu mahali panaitwa "runway club" karibia na TMJ, hebu jaribu siku moja ingia pale (ila jiandae kiingilio) then utajua kama wanaenda bar ama la, wanatumia ama la!
 
Wanapiga maji lakini wenzetu wanajua limit
 
Veve iko ishi pahali gani veve, tembelea baa za upanga, o' bay na mahotel makubwa utajionea, ila siyo kihivyo kama sie walalahoi.
 
Back
Top Bottom