mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Jaribu kupitia maeneo mbalimbali ya burudani na starehe za hapa na pale utagundua hawa jamaa hauwez kuwakuta huko..ni jambo lililo wazi kwamba hawa jamaa wana-run uchumi wa Tanzania kwenye nyanja nyingi sana.
Kilichopelekea kutaja eneo ilo la baa ni jinsi watanzania tunavyopenda kujitutumua na kujikweza kwa kile kdogo tunachokipata..ni kutumia na kugawa ofa mpaka basi!!!
Inabidi watu wabadilike waendane na hali ya uchumi wa kitanzania ulivyo kwa sasa
Si kukaa baa na kuspend laki4 uku ukilalamika nchi ipo pabaya...!!
Tubadilike tupunguze starehe na anasa za kupuuzi zinazoishia kukuchosha kiafya na kichumi...
Naomba mwenye data zaid za hawa wahind aweke hapa especially za kubana matumizi na kuinvest.