Wahindi kutoka Kenya wajaa makambako kununua mahindi

Wahindi kutoka Kenya wajaa makambako kununua mahindi

Uwingi huu wasababisha bei ya mahindi kupanda gafla na wakulima kufurahia bei nzuri ya mahindi,

Wakulima wakiwa makini bei yao inaweza kupanda lakini hawa wanunuzi wanaweza kwa umoja wao[ cartel] kama hawajathibitiwa wao ndio wakawa wanaamua bei ya kununulia!!! Hilo linatokea hivi sasa kwenye korosho na wakulima wanalizwa!!!
 
Kwa kweli Serikali haiwatendei haki wakulima wetu. Serikali inashindwa kuwawezesha wakulima kuuza finished product (unga) kwa maslahi mapana ya nchi? Thn kila uchwao wanajisifia wanashindwa na basic things.
 
Back
Top Bottom