Wahindi na kitimoto

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,518
Reaction score
6,506
Sio joke, ila najiuliza: hivi Wahindi kwao kula kitimoto sio kinyume ya imani yao? Yaani mida hii nipo sehemu hapa Dar es Salaam, naona Wahindi wapo wanafakamia kiti moto ile mbaya!
 
Hawa ndugu zetu imani zao ni za ajabu sana.. wapigwe injili au wasalimishwe. Ili twende nao sawa.
 
Nao ni kama sisi wapo nawaoruhusiwa na wasioruhusiwa. wana dini na madhehebu mbalimbali
 
Wengi wao nyama ya ng'ombe ndio hawali lakini vyengine kawaida.

Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…