Wahindi na waarab Facebook

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Sijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online
Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja

Basi nkaona nije kuandaa wateja wengine facebook.. Nimedownload account jana nkafungua baada ya masaa machache kimya. Nlipoamua kuweka picha tu nakuta friend request 200
Sawa nkawakubalia ila shida sasa ni wahindi na waarab. Yani mda wote ni ngrrngrr utadhani nimekua customer care.. Ubaya wake wanaongelea ngono tu..
Video calls mda wote simu haizimi
Wanatuma picha za uchi kama wehu
Nkajiuliza vjpi nimeeka sura tu?
Nikimblok huyu mwingine anafuatia.. Nimeblok hadi nimechoka bado tu halafu hadi vibabu
Nikaamua nifute picha bado wanakuja
Nimeamua tu nifute akaunti
Hivi sasa napumua
Hivi kwenu wengine inakuwaga hivihivi?
 
Kingereza chenyewe hawajui. Wakija dm utasikia "send you are pussy /show"
Hahahaha kumbe unawajua
Wana genye sana kuliko waafrika au?
Siwaelewi
Huko kwao wanawake ni pungufu au rangi nyeusi inawapagawisha?
 
Biashara ya nguo.. Ningepataje watu bila picha?
Ila sasa watu wenyewe waliokuja na walivokuja
Wanawake bhana.. si ulifungua kutangaza biashara? si ukaweka na sura?? wateja wanakuja unawablock.. Aisee..!
 
Hahahaha kumbe unawajua
Wana genye sana kuliko waafrika au?
Siwaelewi
Huko kwao wanawake ni pungufu au rangi nyeusi inawapagawisha?
Ni wachache wahindi au waarabu wanapagawa na rangi nyeusi asilimia kubwa wanaidharau ila sema wanaona its cheap na wanajua nyie mnababaika na coloured
 
Kweli. Ndo nataka nifungue nyingine
Fungua Account yako.. Hao wahindi(Japo wengi sio wahindi ni watu wa Bangladesh) usi accept request zao ziwe za urafiki au message.. Accept Request za watu ambao biahsara zako zinaweza kuwafikia..

Khan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…