Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #21
Ni wachache wahindi au waarabu wanapagawa na rangi nyeusi asilimia kubwa wanaidharau ila sema wanaona its cheap na wanajua nyie mnababaika na coloured
Nimecheka sana leo walai....... Sipati picha hapo ulipo umekaa style gani hahaha
Unamkubali mmoja here comes the whole patel family
halaf ghafla wanakutumia mikuyenge yaoHahahaa...
Kwakweli
Halafu hata haivutii kabisa.. Haishtui haina msisimko..halaf ghafla wanakutumia mikuyenge yao
Fungus account, usipost kitu!! Then fungua fb page post hump huku uki boost matangazo!! Yako ulipieKweli. Ndo nataka nifungue nyingine
Kwakweli.. Mi mara mia awe mzungu ila sio muhindi. Hawavutii kabisa
Kama kuna wanaobabkia hizi rangi nyeupe pole yao
Asante mpendwa..Fungus account, usipost kitu!! Then fungua fb page post hump huku uki boost matangazo!! Yako ulipie
Pole. unapatikana mkoa gani?Nafungua akaunti nyingine. Biashara ya vitu kama nguo viatu etc
Wameniharibia
Ilikuwa introduction hiyo then wanakuja kununua nguo na viatu, sasa umewablock ushakosa watejaWateja wa nguo, viatu etc
Ulimaanisha nini kwani
[emoji23][emoji23] haya tuoneHapa si unasema tu ngoja akutongoze huko mitaani au mitandaoni utajiona una bahati kama mtu alieokota kiwanja posta [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani vipiPole. unapatikana mkoa gani?
Tatizo wanasumbua mkuuIlikuwa introduction hiyo then wanakuja kununua nguo na viatu, sasa umewablock ushakosa wateja
[emoji23] [emoji23]Kingereza chenyewe hawajui. Wakija dm utasikia "send you are pussy /show"
Hz tabu wanapata wanawake tu
Via:TWAWEZA
Tangazia jf hakuna wahindi na waarabuTatizo wanasumbua mkuu
Chaji haikai ni fujo tu
Nataman waje waarab wanionesha mapussycat yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mwanaume hupati