Wahindi na waarab Facebook

from my experience wateja fb wanapatika sana kwnye grups za kuuza na kununua na sio kwnye page yako.
 
fb kuna wateja kuliko instagram, kwasababu instagram lazima uwe na followers wengi au ulipie matangazo kwnye pages kubwa bt fb unapost kwnye grups tuu na zipo nyingi sana, huwez kosa wateja.so usingefuta acc yako ungeitumia kujiunga na grups.
 
Hahahaha kumbe unawajua
Wana genye sana kuliko waafrika au?
Siwaelewi
Huko kwao wanawake ni pungufu au rangi nyeusi inawapagawisha?
Izo nchi wanawake ni wachache sana na mwanaume kuwa na mwanamke bila ndoa ni kosa lajinai autakiwa mwanaume ufanye mapenzi bila ya kufunga ndoa inshort uzinzi kule ni kosa pia kumuangalia mwanamke usoni kama si mke wako ni kosa la jinai nchi kama Bangladesh,Iran,India na Saudi arabia ni bala uko na ndomana wanaume wao wana ny*ge sana unakuta mwaname ana miaka 35 ajawai kut*mb*n* ni shida uko sio kama Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…