Wahindi walioko Tanzania huwapeleka watoto India kwa lazima kujifunza ugumu, ubahili

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India either Kusoma au kwenda kujifunza Ubaya.

Hata kama kaenda kusoma India pia lazima akajifunze na Ubaya.

Huo ukari na ubaya ni kwamba huwa kuna watu maalumu wako India na hulipwa pesa kwa kazi hio,maalumu huwafundisha Vijana ambao hawajazaliwa India na kuwapigisha kambi kwenye yale maeneo yanye kiwango cha juu mno cha umasikini kule India ambako watu hawana makazi na wanalala mitaroni, wanaishi kwa kuzibua vyoo na kadhalika.

images - 2024-11-24T183604.990.jpeg

Kule hukaa kwa muda wa hadi mwaka mzima kwa wao kuzungushwa kuona Umasikini yaani hawapelekwi maeneo mazuri yenye matajiri hapana hupelekwa maeneo yenye umasikini mkubwa na hadi siku wana ondoka kurudi waliko toka huwa hawapelekwi maeneo mazuri.

images - 2024-11-24T183530.040.jpeg

Sasa huo muda wote vijana huwa huishi au hushinda wakiona umasikini tu na jinsi raia walivyo na masikini wa kutupwa, ni umasikini kweli kweli na haswa haswa, na huwa ni matukio ya kuogofya sana.

Wakirudi sasa huku huwa ni kama akili zimewaruka na muda wote huwa zile picha za matukio ya umasikini wa kule India zinawajia vichwani na ndio maana wanakuwa wakari mno mno kwa bishara zao au za Familia zao kwa sababu huwa wanahofioa sana umasikini na wanahisi wanaweza kuja kuwa wale ndugu zao kule India.

Hii michezo wanaifanya hawa wahindi wafanya biashara na lengo kubwa ni kuonyesha watoto wao kwamba wanapaswa kupigana kufa na kupona kwa ajili ya familia zao na kamwe wasifanye mchezo na hawa ngozi nyeusi sio ndugu zao na ndugu zao ni wale masikini wa India.

Wakirudi siku za mwanzo hawakabidhiwa miradi wasimamie mpanka wakae kichwa kitulie kama miezi kadhaa kwa sababu wanahofia wanaweza ua hata mfanya kazi anaye leta uzembe.

Kuna ambao hupata matatizo ya akili kabisa wakirudi kisa ni yale matukio walio yaona kule India.

Sema hawa expose hii ishu na ni Wabongo wachache sana wanajua hii trick ya hawa Jamaa zetu.
 
inawezekana huwa wanawapeleka kujifunza lugha ya kihindi, tamaduni za kihindi na kufuata asili yao. na sioni ubaya wowote. hata mimi watoto wangu huwa napenda waende kwenye connection ya MKoa au kabila langu ili wajue desturi zetu. India ni nchi yenye watu wengi kuliko nchi yeyote duniani, wameshaipiku china, hivyo kuwepo masikini wengi ni jambo la kawaida, na kuwepo matajiri wengi pia. sio wahindi wote ni maskini, infact, wahindi majority wana maisha mazuri kuliko waafrica, na wasio na fursa wanahangaika kama hapa pia, ni jambo linalotegemewa.
 
Hawa huenda kuonyehwa umasikini mkubwa sana na hurudi wakiwa wamebadilika sana, hii ni maalumu kwa wanao dili na Biashara tu.
 
India kama Taifa linapiga hatua kubwa sana, India Middle class ni milion 400+ China ina middle class milion 600+ sasa piga picha milion 400 wangekuwa ni nchi.

sema kwenye milion hao 400 bado kuna milion kama 700 ambao masikini sana.
Ni jambo jema

Lakini wabongo tunagundua tu tamaduni za wahindi kwasababu tunawaabudu sana

Kuna ethnicities nyingi zinazofanya vizuri mbona kama wachina, hatuwaoni
 
Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India either Kusoma au kwenda kujifunza Ubaya.

Hata kama kaenda kusoma India pia lazima akajifunze na Ubaya.

Huo ukari na ubaya ni kwamba huwa kuna watu maalumu wako India na hulipwa pesa kwa kazi hio,maalumu huwafundisha Vijana ambao hawajazaliwa India na kuwapigisha kambi kwenye yale maeneo yanye kiwango cha juu mno cha umasikini kule India ambako watu hawana makazi na wanalala mitaroni, wanaishi kwa kuzibua vyoo na kadhalika.
View attachment 3160513

Kule hukaa kwa muda wa hadi mwaka mzima kwa wao kuzungushwa kuona Umasikini yaani hawapelekwi maeneo mazuri yenye matajiri hapana hupelekwa maeneo yenye umasikini mkubwa na hadi siku wana ondoka kurudi waliko toka huwa hawapelekwi maeneo mazuri.
View attachment 3160514

Sasa huo muda wote vijana huwa huishi au hushinda wakiona umasikini tu na jinsi raia walivyo na masikini wa kutupwa, ni umasikini kweli kweli na haswa haswa, na huwa ni matukio ya kuogofya sana.

Wakirudi sasa huku huwa ni kama akili zimewaruka na muda wote huwa zile picha za matukio ya umasikini wa kule India zinawajia vichwani na ndio maana wanakuwa wakari mno mno kwa bishara zao au za Familia zao kwa sababu huwa wanahofioa sana umasikini na wanahisi wanaweza kuja kuwa wale ndugu zao kule India.

Hii michezo wanaifanya hawa wahindi wafanya biashara na lengo kubwa ni kuonyesha watoto wao kwamba wanapaswa kupigana kufa na kupona kwa ajili ya familia zao na kamwe wasifanye mchezo na hawa ngozi nyeusi sio ndugu zao na ndugu zao ni wale masikini wa India.

Wakirudi siku za mwanzo hawakabidhiwa miradi wasimamie mpanka wakae kichwa kitulie kama miezi kadhaa kwa sababu wanahofia wanaweza ua hata mfanya kazi anaye leta uzembe.

Kuna ambao hupata matatizo ya akili kabisa wakirudi kisa ni yale matukio walio yaona kule India.

Sema hawa expose hii ishu na ni Wabongo wachache sana wanajua hii trick ya hawa Jamaa zetu.
Wanafunzwa nini maana halisi ya maisha mkuu sio kama hawa dogo zetu wanaofuliwa nguo
 
Hawa huenda kuonyehwa umasikini mkubwa sana na hurudi wakiwa wamebadilika sana, hii ni maalumu kwa wanao dili na Biashara tu.
hakuna mtu anabadilika kwa kuonyeshwa umasikini, ila malezi bora. kuna umasikini gani india tofauti na wa hapa bongo? hapa tz kuna wanadamu hata wakiona gari wanakimbia, maskini wa akili na materials, shule hakuna, chakula hakuna, nyumba wanaishi kama wanyama, wanastruggle mno. kama wangehitaji kuwaonyesha umasikini wangewapeleka tu hapo manzese na tandale panatosha. au uwanja wa fisi pale.
 
Wabongo wengi ikiongelewa India huchora picha wao ni matajir kuliko India my friend wale hata uone masikini kiasi gan sio sawa na ss kuanzia elimu akili viwanda maendeleo ppln nk hyo dhana yako ni uongo isipokuwa wahindi wamejitambua tokea ukoloni so wanaishi kwa principl za wazungu kwanza hakuna kuwapeleka watt India wanawapeleka Canada dubai na UK hz story unarud tena kwa msimuliaji
 
Wahindi hawapendi kurudi kwao..kisa umasikini
 
hakuna mtu anabadilika kwa kuonyeshwa umasikini, ila malezi bora. kuna umasikini gani india tofauti na wa hapa bongo? hapa tz kuna wanadamu hata wakiona gari wanakimbia, maskini wa akili na materials, shule hakuna, chakula hakuna, nyumba wanaishi kama wanyama, wanastruggle mno. kama wangehitaji kuwaonyesha umasikini wangewapeleka tu hapo manzese na tandale panatosha. au uwanja wa fisi pale.
Mkuu yaani huo umaskini wa tandale unaodhani kwamba ndio kiwango cha mwisho cha umaskini basi hao ni matajiri kwa baadhi ya maeneo ya india.
Maana kuna wahindi kule hawana kiwanja wala kibanda wanalala barabarani kwa kifupi ni homeless
 
Mmh, tumeshaijua siri tayari, na mimi nitampeleka mtoto wangu akaone masikini wa India kisha namrudisha bongo.
 
Back
Top Bottom