Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna.
Serikali ianze kuwafatilia hawa watu ni kero sana makazini.
Serikali ianze kuwafatilia hawa watu ni kero sana makazini.