Nyie watanzania mkipewa na kazi za juu mnawaza kupiga pesa tu ufanisi hamna.KUNA HAYA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYOMILIKI VIWANDA NA BIASHARA NYINGINE KUBWAKUBWA YANALETA WAHINDI NCHINI KUFANYA KAZI, KWANZA HATUJUI KAMA WANAKUJA KIHALALI AU LA. NA WAKIFIKA MAKAZINI WANAPEWA NAFASI ZA JUU, NA IKITOKEA UMEGOMA KUMSUJUDIA JUA KAZI HAUNA. SERIKALI IANZE KUWAFATILIA HAWA WATU NI KERO SANA MAKAZINI.
Wanao pokea rushwa na kuwaruhusu kuingia mbona ni wabongo wenyewe, hapo unamlalamikia nani? Walipita je uwanja wa ndege.Hizo ndio tabia zao.Wahindi nyumba moja unakuta walioingia nchini kihalali ni wachache na wengine kibao wameingia kimagendo na ndio maana wanaogopa polisi vibaya sana.
Kwani una pingu za maisha hapo?KUNA HAYA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYOMILIKI VIWANDA NA BIASHARA NYINGINE KUBWAKUBWA YANALETA WAHINDI NCHINI KUFANYA KAZI, KWANZA HATUJUI KAMA WANAKUJA KIHALALI AU LA. NA WAKIFIKA MAKAZINI WANAPEWA NAFASI ZA JUU, NA IKITOKEA UMEGOMA KUMSUJUDIA JUA KAZI HAUNA. SERIKALI IANZE KUWAFATILIA HAWA WATU NI KERO SANA MAKAZINI.
Nani kalalamika mkuu?Wanao pokea rushwa na kuwaruhusu kuingia mbona ni wabongo wenyewe, hapo unamlalamikia nani? Walipita je uwanja wa ndege.
Acha kazi uone kazi kupata kazi, ila kutusua kwa pesa ya Kanjibai ni kipengele.Acha kazi.
Job true true.Acha kazi uone kazi kupata kazi, ila kutusua kwa pesa ya Kanjibai ni kipengele.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mleta mada eti wahindi wanawstesa, wakati watanzania ndo wanao ruhusu wahindi kiingia nchini.Nani kalalamika mkuu?