Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

Slavery mentality!! Mtasubiri sana kwa akili hizi.
Umeona wapi nchi inayoendeshwa Bila kufuata Sheria inaendelea?I think you are the one with slavery mind banana republic republic will never achieve sustainable development
 
Hata kama watajitoa wananchi mtaambiwa walitulazimisha kuruhusu ushoga tukakataa ndiyo maana wamejitoa...
 
Wewe ndiye msemaji wao
 
Mbowe ni gaidi.
Mama kishasema wahisani na masharti yao magumu wakwende zao
 
Pengine wanachotaka kuhakikisha ni je Tanzania kuna ugaidi au hakuna ili wajue wachukue tahadhari gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…