Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoon na Link basiHii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
Sarkali iache ubinafsi inabidi ishirikiana na shule private kwa kuewake ada elekezi ili shule zinazo weza uwapokea hao wanafunzi za private zifanye hivo ili serikali ilipie hiyo gharama....mda wakufanya watoto wetu kua mtaji wa siasa unagharimu hi nchi sana arafu wanao umia zaidi niwale watoto wamasikini wasio kua na uwezo wakulipia shule za privateHii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.