Wan JF kama kuna waliohitimu taasisi ya uhasibu kwa mwaka wa masomo June 2008/2009 kama mimi. Na ambao hawajapata kazi kama mm. Najua wale waliokwisha pata kazi hawataguswa na hilin jambo. vipi kuhusu vyeti vyeti tushauriane tunafanyaje. Maana yule mzee MBAGO (Exams officer) na mmvi zake nadhani kazi imemshinda.
Ni aibu na Inaumiza sana hawa watu ma**** yao