Wakuu,
Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi
Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani mfumo ulikuwa unazowa wote certificate mpaka degree kutokea vyuoni
Utaratibu ule haukuwacha mwalimu wa mwaka 2012, 2013 labda kwa uchache 2014 ambapo nao mwendazake aliwaajiri
Sasa hawa katika awamu hii TAMISEMI imewatoa wapi?
Tunahitaji Mama aingilie kati, vijana wa 2015 mpaka 2020 wapate ajira