Wahitimu wa Chuo Kikuu cha St. John's, Dodoma, mwaka 2023 bado hatujarejeshewa ada tuliyolipa, ingawa HESLB ilikuwa imelipa ada hiyo kwa chuo. Pamoja na tangazo la chuo la 06/09/2023 kuwa fedha zingerudishwa, hadi leo hatujalipwa, na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekata tamaa.