Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering


je watendaji wapo? Au siasa imetawala?
 
je watendaji wapo? Au siasa imetawala?

kwa maelezo na Theory tu! Udsm mnatisha.
Mambo yanabadilika ukiritimba sio mpango. Na huu ni mwanzo tu, vyuo vingi vinakuja juu, at the end mtabaki na jina tu
 
Mkuu huo ndo ukweli kwan kipind nikiwa diplomaa dit mwaka wa pili nilikutana na jamaa wa ud akiwa degree mwaka wa 2 nae 2po field 1 hajui hata kusoma ramani ttizo ud wanajiona sana na wakati kuna mainginia waukweli 2 kutoka vyuo hivyo vya fund

waache waendelee na ideology zao et! UDSM ndo smart kuliko vyuo vyote.
 
Hili limeongelewa sana humu fanya search. Kwa kifupi hakuna michango ya maana maana kila wa UDSM anaona ametukanwa ukisema hivyo, tunakosa discussion ya maana.

Training yoyote huwa ina malengo fulani inayotaka kuyafikia. We have to compare apples with apples ili tuwe sahihi.Sasa Dar tech wanafundihwa na kupewa mafunzo ya vitendo ili wafanye nini na wale wa UDSM nao wanafundishwa na kupewa mafunzo ya vitendo kwa ajiri ya kufanya nini. Mimi naona uzuri wa mtu uko binafsi zaidi kuliko huu wa kutoa kwa mafungu au jumla jumla.
 
vilaza mna shida kweli, acha kufanya conclusion za kijinga hivyo.

we unamwita mwenzio kilaza kwa kigezo kipi? Kisa umesoma chuo kikongwe Tz? Mambo yanabadilika, fungua akili. UDSM mnameza nyie, kama advance vile.
 

Kwanini unataka kila mtu aamini mambo yako hivyo? Maana mimi technicians wangu wazuri ni watu wa Dar Tech...designers na consultants ni watu wa UDSM. labda utanibadili mawazo leo.....
 
system changes mtu kusoma chuo cha chini kwamba ni kilaza
 
nakubaliana na wewe kwa 96% hata hapa ulipotolea mada hii ni elimu nzuri ya DIT ,najua hata Maxence Melo angesoma huko UDSM tusingekuwa na JF leo hii,wanawapa watu BASIC NZURI SANA ,
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unataka kila mtu aamini mambo yako hivyo? Maana mimi technicians wangu wazuri ni watu wa Dar Tech...designers na consultants ni watu wa UDSM. labda utanibadili mawazo leo.....

Naunga mkono hoja.
 
kwa maelezo na Theory tu! Udsm mnatisha.
Mambo yanabadilika ukiritimba sio mpango. Na huu ni mwanzo tu, vyuo vingi vinakuja juu, at the end mtabaki na jina tu

Ushawahi kukaa kwenye panel ya interview kwa wanaotafuta ajira? Hivi suala la umesoma chuo gani linapewa uzito kama wewe mwenyewe utakavyoweza kujiuza? You are missing a point...wakati tunasoma engineers walikuwa wanajiita vipanga sana....as we move along mambo yanakuwa tofauti kabisa. Engineers ndio wanaolalamika sana kama hawatambuliwi. Unajua ni kwanini? Kupenda sifa bila kutambua kwamba professional yoyote ile inahitaji individuaal aifanyie kazi....tusianze kudanganyana hapa kusoma wapi au wapi ndio kutakufanya uwe mambo safi
 
....tusianze kudanganyana hapa kusoma wapi au wapi ndio kutakufanya uwe mambo safi

sasa UDSM waachane na fikra za kuwa ubora wa chuo na jina la chuo ni reason ya kudhani wao ni smart kuliko vyuo vingine na hii iwe challenge kwao, sio waite vilaza, wakati mambo yanaonekana wazi.
 
sasa UDSM waachane na fikra za kuwa ubora wa chuo na jina la chuo ni reason ya kudhani wao ni smart kuliko vyuo vingine na hii iwe challenge kwao, sio waite vilaza, wakati mambo yanaonekana wazi.

Ubora ujenge mwenyewe. Be a competent person. Ukianza kuangalia sana mambo ya jumla jumla ukasahau yanayokuhusu mwenyewe moja kwa moja jua fika unapoteza muda. Nasikitika kuona engineers wengi walivyopoteza mwelekeo. We nenda kwenye halmashauri ukajionee mambo yalivyo utacheka.
 

si unaona serikali yako inatupa priority ya mkopo! Naona inataka kurudisha mwelekeo huo uliopotea kwa engineers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…