Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

Walio base kwenye practical 65% wanauwezo wakujiajiri. Walio base theory daily ndio wanao waza kuajiriwa!
 
hapo ndipo wengi panawapa shida, hivi inawezekana kweli mtu alishindwa kuelewa Algebra na Coordinate Geometry na akapata S au F, leo anawezaje kuwa fit kwenye hiyo anayoiita practical?

nngekua kwenye pc nngekugongea like
 
hapo ndipo wengi panawapa shida, hivi inawezekana kweli mtu alishindwa kuelewa Algebra na Coordinate Geometry na akapata S au F, leo anawezaje kuwa fit kwenye hiyo anayoiita practical?

Kuna div.1 kali nyingi D.I.T hawajapenda hiyo UDSM uliyokaririshwa. S na F unazozungumzia ni diploma ambao kwenye field wameonesha kuwa SMART than Ud!!
 
hapo ndipo wengi panawapa shida, hivi inawezekana kweli mtu alishindwa kuelewa Algebra na Coordinate Geometry na akapata S au F, leo anawezaje kuwa fit kwenye hiyo anayoiita practical?

acha akili zako kwani umesikia wa2 hawajui hesabu. Sio kila m2 aliye pata 3 ana c,d,e,s au f ya hesabu. Ni uvivu wakumeza maneno (e.g chemia) yasio kwenye faini ambayo uendi somea mbele bora kichwa kika relax
 
Walio base kwenye practical 65% wanauwezo wakujiajiri. Walio base theory daily ndio wanao waza kuajiriwa!

Hawa ndugu wameathiriwa na mfumo. Sio kosa lao, IT IS BETTER TO INVET A JOB THAN TO FIND A JOB. Thanks
 
acha akili zako kwani umesikia wa2 hawajui hesabu. Sio kila m2 aliye pata 3 ana c,d,e,s au f ya hesabu. Ni uvivu wakumeza maneno (e.g chemia) yasio kwenye faini ambayo uendi somea mbele bora kichwa kika relax

HELP THEM bro.
 
Udsm wana ideology za ku-FIND JOBS.
D.I.T wana ideology za ku INVENT JOBS
 
Duu kumbe mnataka ushindi wa mezani...teh teh teh! When you go out there with that mind of proving who is the best engineer between the two, who do you think will benefit? teh teh teh! Nafikiri tunapaswa kujua brain ina sheres mbili, left and right, na kila sphere ina kazi zake ambazo zote ni muhimu. Naona tumejikita kutumia left hand hemisphere zaidi wakati waimba bongo fleva, ambao wengi wanatumia right hemsphere wanapeta kimapato na kujulikana zaidi ya wahandisi wanaogombana wao kwa wao bila sababu.
 

though umetoka kidogo kwenye hoja, ila kukusaidia ni kuwa hapa engineers hawa gombani ila debates kama hizi zinasaidia kubadili ideology potofu zilizopo, kuongeza ushindani, na kikubwa tungependa engineers wanaofanya ugunduzi wenye tija kwa Taifa hili mfano. Pale MIST tumesikia jamaa kagundua kifaa kitakachosaidia kupunguza Ajali za meli. Tubadilike
 
mimi ninachoona hapo ni kama vile kumtafuta nani zaidi kati ya UDSM na DIT.sioni point ya maana katika thread hiyo kwani vyuo vyote hivyo viko chini ya wizara moja na mitaala ya vyuo hivyo ni sawa sawa.kinachoongelewa hapa ni nani mkali ktk practical.lakini ikumbukwe pia kuwa wapo wanafunzi wengine wanasoma fani hizo lakini hawapendi practical za masomo yao.ila mimi naamini kuwa kama mtu anaipenda fani yake kiukweli atakuwa mkali tu ktk sector zote tu,bila ya kujali wapi amesoma kwani vyuo vyote vina facilities nyingi za kumfundisha mtu mpaka awe engineer.huwezi kuwa compitent engineer kama huna theory na practical.advantage ya wale tuliopita shule za tech schools ni kwamba tulianza kuzowea tems za kiuengineer toka tulipokuwa wachanga,i mean toka tunapoingia form one.hatukufundishwa masomo mengine nje ya masomo ya ufundi.mfano mimi nilisoma ifunda,then dar tech.sasa pale ifunda hatukufundishwa biology,history wala geograph n.k.so toka mwanzo mimi lugha yangu ni ya ufundi ufundi tu mpaka leo.
 

Ndio maana nimesema tuanze kuhangaisha bongo zetu as one team kuliko kufikiri kuna mmoja yuko juu ya mwingine. Kama tukiwa wamoja lazima tutapata namna bora ya kutoa michango chanya kwetu wahandisi wenyewe na kwa Taifa. Kwa ufupi vyuo vyetu vinakosa hela za kufanya reserch and development. Na huku makazini, engineers tunajipanga vipi kuhakikisha tunaweka utaalamu na maslahi ya Taifa mbele? Kweli nenda kwenye hizi halmashauri zetu ukaone engineers wanafanya nini. Utashangaa wale vipanga wameishia wapi mpaka kuwa localized kiasi kile.
 

shukrani! Nimekuelewa sana mzee. Na THEORY and PRACTICAL ni muhimu,
 
duh haya bwana I see we have the nani zaidi business again...anyway ngoja tujaribu kujenga...

hivyo vyuo twaweza sema ni step brothers, wengine ni watoto wa TCU wakati wengine ni watoto wa NACTE. Sasa hawa wa NACTE kama nilivyowahi kucomment in one of the threads za JLE, wanapikwa under Competence Based Curriculum wakati walio chini ya TCU,(UDSM included) wanapikwa under Knowledge Based Curriculum, so tofauti lazima ziwepo katika ufundishwaji, akibishana mtu na hii fact kwakweli ntacheka tu!

ila kwa suala la ubora wa mhitimu hilo ni la mhitimu binafsi...mtu anapoenda kwenye labour market s/he sells "him/herself" and not the "university/college/institute" s/he went for studies. kwenye labour market hatupeleki uNACTE wala uTCU ndugu zangu...competence hutegemea saaaaana individual efforts kuliko chuo mtu anachosoma...

kingine...mtu haendi kufanya fani za engineering POPOTE kama anafahamu hesabu kwake ni bamkwe. kufanya hivyo ni equivalent na kucommit an academic suicide. so for instance mtu anataka kwenda DIT, hawezi kuwa admitted kama ana grades mbuzi mbuzi kwenye Maths. so kama unajua u r going for engineering iwe kwa mtoto wa TCU au wa NACTE ni lazima uwe mkali kwenye Maths na sio vinginevyo...mtu akipingana na fact hii, hapo napo nitaishia kucheka sana!!!

tuache kuwa na subjectivity for once tuangalie facts...
 
...well said...
 
Umesomeka na mtoa hoja thanks (nipeukweli) lakini hata D.I.T wanachaguliwa na TCU kwa bachelor za engineering.
 
Nani anifafanulie utofautati wa BACHELOR OF SCIENCE in ENGINEERING na BACHELOR of Engineering
Ningeshukuru kupata maelezo ya kutosha.
 
Well said kiongozi nipeukweli.

Nadhani watoto watakuwa wamekuelewa vyema. Kwamba shule si chuo bali bongo yako mwenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…