Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo kutoka HESLB na wengine wanaotaka kuomba katika vyuo vingine bila kujali kama wanaomba mkopo au la.
Tunataka kuendelea na elimu ya juu lakini kukosekana kwa AVN, namba ambayo chuo au Bodi inaweza kupata access ya kuangalia maendeleo yak oni changamoto inayotukwamisha.
Utaratibu wa maombi wa mkopo ulivyo hauwezi kuendelea hadi uwe na AVN, wakati huohuo Dirisha la Usajili wa maombi ya mkopo linatarajiwa kufungwa Agosti 30, 2024, hadi naandika andiko hili imesalia siku moja na hatujapata namba hizo.
Tumefikisha hoja yetu kwa Uongozi wa Wanafunzi nao wanasema wanashughulikia lakini siku zinazidi kwenda tu bila mafanikio yoyote.
Tunaomba kama ingewapendeza HESLB waongeza muda kidogo wa kuwasilisha maombi wakati huo Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) wakishughulikia changamoto yetu ya kuwezesha kupata AVN number.
PIA SOMA:
~ Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25
- Ni kwanini mfumo wa AVN Number wa NACTVET unasumbua wakati una watu wachache wanaoomba ukifananisha na bodi ya mikopo(HESLB)