Wahitimu wa elimu ya juu Tanzania na kitendawili cha kujiajiri

Uzi mzuri tatizo wahusika kwa maana ya vijana wasomi wasio na ajira hutowaona hapa wakisoma huu uzi wako bize na ndoa ya Bilnasi na Nandi.
Asante sana. Tafadhali upigie kura sehemu ya Uzi wangu huu kwenye shindano la stories of change kupitia SoC 2022 - Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi wahitimu wa elimu ya juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

Natanguliza shukran.
 
Asanre kwa maoni yako
 
Sasa hiyo 1500 ya nyongeza itoke wapi?inamaana tozo ziongezwe?
Wasomi mnafeli wapi?
Kwanza onyesha jinsi ya kuongeza mapato ya serikali,jinsi ya kupunguza matumizi,ndio mje na hizi hoja za kuongezewa posho za msosi,!!
Wanasiasa hawataki kutumia RAV 4,wanataka madungu jeshi,VXL,V8,wabunge posho ya 250K wanaona haitoshi,
 
Unachosema ni sahihi Kwa maana ya kupunguza matumizi

Ila hapo hoja ilikuwa katika 10,000 anayopewa mwanafunzi Kwa siku basi ikatwe hiyo 1,500 na awekewe akiba,hatujazungumzia kuongeza hapo
 
Ukiwaandikia watanzania kitu kizuri lakini kwa maelezo marefu ya kina ujue kuwa UMEWAFICHIA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…