Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
wanachofundishwa zaidi vyuoni siyo masomo ya kufundishia ni teaching methodologies ambazo ukiwa form six sijui wapi hufundishwi.Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.
Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Transition from reading books to using google, material zote zinasepa kichwaniTukiachana na mengineyo, wakati unaandika hivi akili yako ilitakiwa ikutume kuwa hao waliotoka chuo wamepitia hiyo form six na hizo combinations PCM, PCB, CBG wamezisoma wengine. Tena walioenda chuo ni wale tu walifaulu. Kwanini miaka minne iliyopita alikuwa na uelewa sana alipohitimu six na sasa hajui baada ya kupita chuo, au uelewa siku hizi una expiration date, au ili uelewe chuo inabidi ufute akili za A level.
Na sijajua kwanini umetaja combinations tatu za sayansi, labda nyinginezo unahisi wahitimu wa form six uelewa wao sio zaidi ya waliotoka chuo kama unavyodhani kwa hizo tatu. PGM, CBN na CBA sijui au hizi zilifutwa.
Acha ujanja kaka, Unga amesoma teaching methodologies wapi. Na walimu wengi wa private schools wala hawaasomea huo ualimu unaousema.wanachofundishwa zaidi vyuoni siyo masomo ya kufundishia ni teaching methodologies ambazo ukiwa form six sijui wapi hufundishwi.
Tofautisha kujua physics kama somo na kujua mbinu za kufundisha physics
umeandika jambo usilolijua sijui ulitaka kuleta ujumbe gani
mtu aliyepata A ya Chemistry kama hajapita chuo anaweza akakufundisha usielewe
Nenda kawaulize wanajua maana ya ualimu kisha uje hapaMaoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.
Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Ngoja tuone wengine wanasemajeNenda kawaulize wanajua maana ya ualimu kisha uje hapa
ujinga wako ni kutojua unataka kuandika nn? unawaita wajinga hata sisi tuliosomea hayo mambo? sasa sijui mm na wewe mjinga nani hapaAcha ujanja kaka, Unga amesoma teaching methodologies wapi. Na walimu wengi wa private schools wala hawaasomea huo ualimu unaousema.
Boss ni wapi nimeandika hivyo, soma vizuri comment yanguujinga wako ni kutojua unataka kuandika nn? unawaita wajinga hata sisi tuliosomea hayo mambo? sasa sijui mm na wewe mjinga nani hapa
Unga; Mgote; Kihombo; N.KUalimu wa Tz ulishakuwa kama punching bag kila mtu anajibigia kadri anavyoweza. Kabla ya kuuliza hilo swali ungewaza hao wanafunzi wamefundishwa na nani hadi kuwa magenous
Hapa tunazungumzia ualimu hata huyo form six graduate pia ni mwalimu. Embu jaribu kuangalia wale walimu wetu wa chemistry wakina Sir Unga, walisomea chuo wapi. Lakini hao ndio wapo deep sana kwenye chemistry, angalia Mgote.Hii sekta inadharaurika jamani duh!!