S saidy kilua New Member Joined May 28, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jul 24, 2015 #1 Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link?
Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link?
D daudi_8 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 215 Reaction score 27 Jul 24, 2015 #2 saidy kilua said: Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link? Click to expand... Futa uandike na upya upate kusaidiwa.,title yenyewe umekosea.
saidy kilua said: Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link? Click to expand... Futa uandike na upya upate kusaidiwa.,title yenyewe umekosea.
Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 554 Reaction score 915 Jul 24, 2015 #3 mkuu nenda tu karipoti shulen uliko pangiwa majbu yatakukuta huko huko
Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 554 Reaction score 915 Jul 26, 2015 #4 saidy kilua said: Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link? Click to expand... majina yametoka but link siioni
saidy kilua said: Jamani naombeni anayefahamu majibu ya wanafunzi wa kidato cha 5 mwaka 2014 huu wanaobadilishiwa shule yanatoka link? Click to expand... majina yametoka but link siioni