Wahitimu wa sasa wanatudhalilisha wahenga

Wahitimu wa sasa wanatudhalilisha wahenga

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
619
Reaction score
796
Hawa vijana wanaomaliza shule siku hizi wanatufanyia sisi tuonekane hatukuwa serious wakati tunasoma

Vijana wanafaulu hadi tunajiona sisi tulihurumiwa kupata vyuo 😂😂

Haya matokeo ya kidato cha sita yamenifanya nijiskie nilifeli
 
Wasahihishaji na walimu ndio wenye taarifa za kutosha.
 
Vijana wanasoma sana... serikali iwaandalie tu ajira
 
Back
Top Bottom